Msomi wa Bahrain
IQNA – Kwa mujibu wa mtazamo wa Imam Khomeini (RA), Hija ni ibada isiyotenganishwa na wajibu wa kisiasa na wa kidini, amesema mwanazuoni mmoja kutoka Bahrain.
Habari ID: 3480789 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/04
IQNA – Mtaalamu mmoja kutoka Lebanon amesema kuwa lengo la harakati ya Imam Khomeini ilikuwa kuelekea kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na hivyo fikra zake zikitokana na misingi ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3480787 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/04
Rais Pezeshkian
IQNA-Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa iwapo Wairani wataendelea kushikamana na misingi ya Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu), hakuna nguvu yoyote ya kigeni itakayoweza kuushinda mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu wala kuwatatiza Waislamu wengine.
Habari ID: 3480786 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/04
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema urutubishaji wa urani ndio ufunguo wa suala la nyuklia la Iran, akipuuzilia mbali pendekezo la Marekani kwa Tehran la kusimamisha kikamilifu urutubishaji wa madini hayo (ya urani).
Habari ID: 3480785 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/04
IQNA – Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) alisisitiza umuhimu wa marekebisho ya fikra na mitazamo kwa msingi kwamba binadamu asijidharau bali ajione kama kiumbe anayeweza kuona zaidi ya ulimwengu wa mali na kiroho. Kwa sababu hiyo, alianzisha mapinduzi ya kiroho na yanayoungwa mkono na umma.
Habari ID: 3480783 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/03
IQNA – Semina ya kimataifa ya mtandaoni chini ya anuani ya “Imamu Mkuu Khomeini (MA): Kielelezo cha Mabadiliko katika Ulimwengu wa Kiislamu” imepangwa kufanyika Jumanne, tarehe 3 Juni.
Habari ID: 3480777 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/02
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naeem Qassem, amesisitiza kuwa mafundisho Uislamu asili wa Mtume Muhammad kupitia misingi ya kimapinduzi ya Imam Ruhollah Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) yataendelea kuwa mwanga unaoongoza harakati za mapambano au Muqawama na vuguvugu za ukombozi katika eneo la Asia na ulimwengu mzima wa Kiislamu.
Habari ID: 3480775 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/02
IQNA – Afisa mmoja wa Iran ameelezea mtazamo wa kimapinduzi wa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) kuhusu suala la muqawama (mapambano), akisema kuwa muasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu aligeuza Palestina kuwa suala nambari moja kwa Waislamu duniani.
Habari ID: 3480772 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/01
IQNA – Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu-RA) aliweka msingi wa sera ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Kiislamu juu ya kanuni ya "kupinga ubeberu."
Habari ID: 3480764 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/31
IQNA – Siku ya Kimataifa ya Quds ni fursa ya kuonyesha msaada wa umma kwa taifa la Palestina na ukombozi wa al-Quds, amesema afisa mwandamizi nchini Iran.
Habari ID: 3480435 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/25
IQNA – Semina ya kitamaduni na kielimu iliyopewa jina “Utangulizi wa Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu katika Nyanja ya Wanawake” iliandaliwa jijini Dar es Salaam, Tanzania, Jumatatu.
Habari ID: 3480205 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/12
Massoud Pezeshkian ni Nani?
Rais mteule wa Iran Daktari Massoud Pezeshkian alifanya ziara katika kaburi la Imam Khomeini (RA) ili kufufua utiifu wake na itikadi za marehemu muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3479086 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/08
Mkutano wa Waislamu
Toleo la 38 la Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litafanyika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran mwezi Septemba.
Habari ID: 3479062 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03
Mtazamo
IQNA-Leo imetimia mwaka wa 35 tokea alipoaga dunia, Imam Ruhullah Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu-MA-) muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3478923 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/03
Hauli ya Imam Khomeini
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei leo mjini Tehran amehutubu katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 35 tangu aage dunia Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusema tukio chungu la kumpoteza rais wa nchi na taathira zake ni tukio muhimu zaidi nchini Iran katika mwaka mmoja uliopita.
Habari ID: 3478922 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/03
Imam Khomeini
IQNA – Hauli za mwaka wa 35 tangu alipoaga dunia Imam Khomeini (RA) zitafanyika kwa kauli mbiu ya "Imam; Ahadi ya Kweli’.
Habari ID: 3478834 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Mtazamo
IQNA - Imam Khomeini (MA) alitilia mkazo hadhi ya juu ya wanawake katika Uislamu na alizingatia sana haki zao, mwanazuoni wa Algeria amesema.
Habari ID: 3478322 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09
Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kadhia kuu nambari moja ya Ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na ukombozi wa Quds Tukufu, Kibla cha Kwanza cha Waislamu, kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478281 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/31
Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amezuru Haram tukufu ya Imam Khomeini (MA) na makaburi ya Mashahidi ya Behesht Zahraa sambamba na kuanza maadhimisho ya Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3478280 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/31
Sheikh Ibrahim Zakzaky
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametangaza kuwa, licha ya kupita miaka 34 tangu kuaga dunia Imam Ruhullah Khomeini, fikra za mwasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ziko hai.
Habari ID: 3477101 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05